Leo tutajifunza Jinsi ya kuteboresha Background ya Picha yako ionekane imepigwa na Camera ya HD, watu wengi wamekuwa wakiweka background lakini wamekuwa hawazingatii baadhi ya vitu.
Fuatilia video hii fupi uweze kujifunza hatua kwa hatua, kama utapata shida yeyote usisite kutujurisha kwenye uwanja wa maoni (Comments) Hapo chini na tutakusaidia haraka iwezekanavyo.
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini