Saturday, October 8, 2016

Jinsi Ya Kurudisha Picha Zilizofutika Katika Smartphone Yako


Kuna wakati inatokea unafuta picha zako kwenye simu yako kwa bahati mbaya au hata kuna muda to unataka kurudisha picha zako ulizowahi kuzifuta kutoka kwenye simu yako kama unataka kufanya hayo yote basi usijali kwani leo tutaenda kujifunza namna rahisi ya kurudisha picha zako hizo kwenye simu yako kwa namna rahisi kabisa. 

Hata hivyo kama inavyojulikana watu wengi sana wanajua namna ya kurudisha picha zilizopotea kwenye kompyuta lakini watu wengi hawajui kufanya hivyo ikija katika swala zima la Smartphone au (Android Phones) au hata simu nyingine za mkononi, hivyo basi leo tutajifunza hatua kwa hatua namna ya kufanya hivyo bila kutumia muda mwingi. 

Kwa kuanza basi iii kuweza kufanikisha hili unahitaji kuwa na bando atlist MB100 kwaajili ya kupakua programu kutoka kwenye PlayStore, pakua Programu ya Android iitwayo (DiskDigger) bofya hapo chini kupakua programu hiyo ya android kwenye simu yako


Baada ya hapo install programu hiyo kisha ruhusu programu hiyo kupitia superuser baada ya hapo chagua file lenye picha zilizo potea alafu chagua format kama ni jpg, png au hata mp4 kisha acha programu hiyo ifanye scaning baada ya hapo moja kwa moja utaweza kurestore picha zako na hata video. 

endelea kutembelea blog ya Romanus Technology kila siku au unaweza kupata habari zote za teknolojia moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa kupakua App ya Romanus Technology moja kwa moja kwenye simu yako ya Android



Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top