Post code au(Zip code) ni namba za utambulisho wa eneo husika.Huanzia ngazi ya mkoa hadi kata (ward). Kila kata,wilaya,na hata mkoa una Zip code husika.
Angalizo:Zip code ni tofauti na Post Adress(Sanduku la posta). Post code pia ufahamika kama Zip code htumika sana katika kufanya Manunuzi ya mtandaoni,au kujisajili katika huduma fulani za kimtandaoni.
POST CODE ZA KILA MKOA ZIMEORODHESHWA HAPO CHINI SASA UNAWEZA KUTUMIA POST CODE YA MKOA WAKO KUFANYIA HUDUMA ZA KIMTANDAO.
Postcode Tanzania
KANDA YA KASKAZINI
TANGA=21000
ARUSHA=23000
KILIMANJARO=25 000
MANYARA=27000
MANYARA=27000
KANDA YA ZIWA
GEITA=30000
MARA=31000
MWANZA=33000
KAGERA305 00
SHINYANGA=37000
SIMIYU=39000
KANDA YA KATI
DODOMA=41000
SINGIDA=43000
TABORA=45 000
KIGOMA=47000
KIGOMA=47000
KANDA YA JUU KUSINI
KATAVI=5 0000
IRINGA=5 1000
MBEYA=5 3000RUKWA=55 000
RUVUMA=57000NJOMBE=5 9000
KANDA YA MWAMBAO(PWANI)
PWANI=61000
LINDI=65 000
MTWARA=63000
MOROGORO=67000
ZANZIBAR
MJINI MAGHARIBI=71000
KUSINI UNGUJA=72000
KASKAZINI UNGUJA=73000
KUSINI PEMBA=74000
KASKAZINI PEMBA=75 000
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini