Bila shaka kikwazo kikubwa kinachowakabili wafanyabiashara wa Mtandaoni ni njia ya Malipo.
Kukiwa na maelfu ya fursa za kimtandao bado nyingi zinashindwa kufikiwa kwa kikwazo cha njia ya Malipo.
Makampuni mengi Duniani yanatumia Paypal kama njia ya malipo, Lakini kwa bahati mbaya kuna nchi nyingi haziruhusu huduma hii Tanzania ikiwemo.
Makampuni mengi Duniani yanatumia Paypal kama njia ya malipo, Lakini kwa bahati mbaya kuna nchi nyingi haziruhusu huduma hii Tanzania ikiwemo.
Hivyo basi Payoneer ni suluhisho kwa wafanyabiashara za mtandaoni ambao wanategemea kupokea malipo kutoka nje(abroad).
KWANINI UTUMIE PAYONEER
- Usajili ni bure na ni rahisi, Kwa wale wasiokuwa na Vitambulisho vya kupigia kura wanaweza kutumia hata Cheti cha kuzaliwa kama kitambulisho.
- Utatumiwa Kadi yako ya Payoneer MasterCard kutoka Aurora-Marekani hadi hapo ulipo Bure kabisa.
- Kadi hii itakuwezesha kutoa pesa hata katika mabenki yetu ya hapa Tanzania kwa Shilingi za Kitanzania,
- Utapata US Dollar 25 kama zawadi ya kujiunga, ambayo ni sawa na TZS 50,000+ za hapa Tanzania. Zawadi hii utapatiwa mara tu baada ya kufikisha Dollar 100 ulizolipwa katika account yako ya payoneer
- Pia kuna zawadi ya dollar 25 iwapo utamtaarifu rafiki yako naye akajiunga, atakapofikisha Dollar 100 katika Account yake ya Payoneer nawe utapewa zawadi ya Dollar 25.
Kama bado haujajiunga na Payoneer BONYEZA HAPA KUJIUNGA Au nakili http://www.payoneer.com katika kivinjari chako
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini