Nimekua nikipokea maombi mengi sana watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.
Zaidi ya watu 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 100% , Hii haihitaji Computer.
MAHITAJI:
1, TECNO Y3+
2, KIFURUSHI CHA INTANETI (2mb)
FANYA YAFUATAYO:
1, Kwenye hiyo simu ingia PLAYSTORE,
2, Download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.
3, Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering
4, Itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY, Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf bofya hapo
5, Utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK , Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678,
Ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo kisha restart simu yako na kila kitu kitakua poa.
Enjoy...!!
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini