Wednesday, November 2, 2016

Tumia Smartphone yako kama remote control kwenye kifaa chochote kile bila kujali aina ya kifaa (TV,AC, Satellite na DVR)


Je umepoteza remote ya TV,AC, Satellite na DVR ? tumia (IR Blaster Sensor) kwenye simu yako ya Android nautaweza kutumia kama remote bila kuwa na haja ya kuangaika madukani wala kujali Brand ya kifaa. Fata hatua hizi.


Kuna aina nyingi sana za TV, AC, Satellite na DVR katika matumizi yetu ya kilasiku. Maranyingi imekuwa kazi ngumu sana kupata remote control ya kifaa chako pale inapo potea au kuharibika pia ningumu sana kukuta remote moja unaweza kuitumia kwenye vifaa vyako vyote nyumbani bila kujali aina ya kifaa hicho.
Kama wewe nimtumiaji wa simu ya Android ingia Google Play na upakue App hii na uanze furahia kutumia simu yako kama remote kwa vifaa vyako vyote ndani ya nyumba yako.
Pakua hapa : IR Universal Remote


Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top
Loading...