Adobe Photoshop ni graphics Editor amayo imetengenezwa na kuchapishwa na Adobe Systems kwaajili ya kutumika katika computer za MacOS na Windows.
Kwa wale wageni wa adobe photoshop fuata video hapo chini uweze kujifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia programu pendwa ya Adobe Photoshop kwa mala ya kwanza,
Katika video hapo chini Utapata kufahamu matumizi ya features zote muhimu katika Adobe Photoshop
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini







