Saturday, December 10, 2016

Jinsi ya Kuzima Kabisa Comment Katika Post Za Instagram


Kwa sasa instagram inakuwezesha kuzima comment, tena hii ni sehemu zote ni kwa post mpya na zile za zamani.. NImeshasikia wasanii wengi wa Tanzania wanalalamika kuwa wanatukanwa sana katika mtandao wa Instagram pengine kipengele hiki ndio mkombozi wao.
Wakati unampango wa kuweka picha mpya katika mtandao wa Instagram ukishafika katika eneo la kuandika ‘caption’ kwa chini kuna eneo la “advanced Settings” na ukiingia humo ndipo unaweza kuzima comment hizo

Instagram inafanya juu chini ili kuhakikisha kuwa watumiaji wake wanapata vingi vizuri kuliko vile ambavyo mwanzo walikuwa wana vitegemea.

Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top
Loading...