Wednesday, December 21, 2016

Nyimbo 10 Zinazoongoza Kutazamwa Youtube Mwaka 2016


Kama ilivyo kila mwaka, mtandao wa Youtube una tabia ya kuweka wazi nyimbo za wasanii ambazo zimefanya vizuri kuliko zingine katika mtandao huo.
Kipimo cha kufanya vizuri ni idadi ya uangaliwaji wa nyimnbo hizo. Wakati huko bongo wasanii wakisheherekea na kusumbua katika mitandao, huko kwa wenzetu watu wanafikisha mamilioni au hata bilioni katika idadi ya kutazamwa kwa nyimbo zao
List Nzima Ya Nyimbo Zilizofanya Vizuri ( 1 – 10)
1. Fifth Harmony, “Work from Home ft. Ty Dolla $ign”
2. Calvin Harris, “This Is What You Came For ft. Rihanna”
3. Nicky Jam, “Hasta el Amanecer”
4. The Chainsmokers, “Closer (Lyric) ft. Halsey”
5. Rihanna, “Work ft. Drake”
6. Mike Posner, “I Took A Pill In Ibiza (Seeb Remix)”
7. Sia, “Cheap Thrills (Lyric Video) ft. Sean Paul”
8. Zayn, “Pillowtalk”
9. Coldplay, “Hymn For The Weekend”
10. Twenty One Pilots, “Heathens” (from Suicide Squad: The Album)
Nyimbo ya kwanza (Fifth Harmony, “Work from Home ft. Ty Dolla $ign”) imetazamwa zaidi ya mara bilioni 1,194,962,249* na nyimbo ya mwisho (Twenty One Pilots, “Heathens” ) imetazamwa zaidi ya mara milioni 490,483,878*
Kitu kingine kizuri ni kwamba kundi la wanadada, Fifth Harmony mara ya kwanza kabisa walitambulisha jina la nyimbo yao hio kama ‘work’ lakini baada ya kuona kuwa msanii nguli wa kike, Rihanna nae anatoa nyimbo yake ambayo ina jina hilo hilo ikabidi wabadilishe na kuliita ‘work from Home’

Ningependa kusikia kutoka kwako je unadhani list hii iko sawa au ina mapnungufu? Niandikie hapo chini sehemu ya comment.

RomaTech ndio mtandao wako namba moja katika masuala yote ya teknolojia, Tembelea kila siku


Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top
Loading...