wengi wamekuwa wakija inbox kuniuliza hili swala, leo nimeona niwashirikishe nyote ili kila mmoja wetu apate elimu hii, fuata hatua zifuatazo ili twende pamoja mwana teknolojia mwenzangu
- kwanza kabisa pakua app inaitwa Get Apk Market kisha install kwenye simu yako ( Bofya Hapa Kupakua )
- Hatua inayofuata, Angalia video hii fupi hapo chini, au pakua video hiyo bure.
Usisahau kutupia comment hapo chini.
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini