Saturday, February 25, 2017

Namna ya kupata Contacts Kwenye toleo jipya la whatsapp


Whatsapp wamefanya maboresho makubwa kimuundo na sasa watumiaji wake wanaweza kuweka status ambazo zitajifuta zenyewe baada ya masaa 24.

Pia kuna baadhi ya vipengele ikiwemo kipengele cha Namba za watu wako (Contacts) vimehamishwa.

wengi wamekuwa wakiniuliza hili swala la namna ya kupata namba za watu wanaotumia whatsapp kwenye toleo hili jipya, Fuatilia hatua hizi fupi kujua namna ya kupata contacts hizo.

1. Fungua whatsapp kisha gusa kwenye kipengele cha Chat




2. Kisha gusa Icon ya Ujumbe (message)



Baada ya hapo utafanikiwa kuona majina na namba zote ulizo zihifadhi kwenye simu yako, lakini hutoona tena status kwasababu whatsapp tayari wameondoa kipengele hicho.


Enjoy..!

Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top
Loading...