Sunday, February 5, 2017

Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua


Leo tujifunze hatua fupi za kujua Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb

2. Install katika simu yako

3. Ifungue hiyo program na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code

4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo 
ila fanya uwezavyo kuipata)

5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisha angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. bonyeza hapo utakutana na maandishi whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code (kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uifungue itakuletea hiyo code, iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi, automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya yafuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

NB: KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.

Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall

Maoni yako Hapa chini

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top