
Fuatilia hatua hizi fupi..
1. Unatakiwa ku-update system yako kwa kuandika code ifuatayo
2. Anza kuweka seva ya Apache
3. Anza kuinstall Mysql
Hapo utaona kuna line nyingine zimeongezeka hizo ni modules ambazo zinaunganisha mysql na php pamoja na apache2 server.
4. Anza kuweka php kwenye kompyuta yako
pia haitakuwa mbaya kama ukiongeza file ambalo linaelezea php katika forder (directory index)
Kwenye Terminal andika code zifuatazo
kwenye sehemu ambayo imeandikwa DirectoryIndex, ongeza neno index.php
Hapo tayari webserver inafanya kazi kabisa.
Kumbuka kwenye LAMP forder inayokaa mafile *.html na mafile mengine ya kwa ajili ya tovuti ni folder liloandikwa "www/html", ambayo adress yake ni /var/www/html, mfano unataka kuandika file .php andika code ifuatayo kwenye terminal
kisha itafunguka text editor ambayo utaongeza code ifuatayo
Kisha kwenye browser indiza adress ya localhost/info.php, kisha ikifunguka jua kila kitu kipo sawa.
Pata Makala Zetu Kwenye Simu Yako Kupitia Android Application ya Romanus Technology, Bonyeza Hapa Kuinstall
Maoni yako Hapa chini





