Sunday, December 3, 2017

Jinsi Mtu Anavyoweza Kupata Message Zako Za Whatsapp Kwa Kutumia Simu Yako Bila Kuku-hack


Leo nimekuja na njia ambayo itamuwezesha mtu kusoma message zako unazochat na watu wako kadhaa kwa njia rahisi kabisa .

TWENZETU!!!


Baada ya kuchukua simu yako ataingia kwenye chat ya mtu anayetamani kujua huwa unazungumza nae nini na atafata njia ifuatayo..


Atabonyeza alama iliyoko upande wa kulia kwa juu inayoashiria MENU



Atabonyeza chaguo la MORE kisha baada ya hapo atachagua EMAIL CHAT



Atachagua atume kwa kutumia email ya nani lakini kwa kuwa kwenye simu zetu za android nyingi tunakua tumejisajili kwa email zetu basi itamuwia rahisi sana ataituma tu chat hiyo kwenye email yake na baada ya hapo atapokea messages zote ulizowahi kuchat na huyo mtu mpaka wakati ule alipojitumia chat kwenye email yake.

Jinsi Ya Kupata Sms Za Kawaida Na Whatsapp Ya Mtu Wako Wa Karibu


Nimekua nikipata maswali mengi kuhusiana na jinsi gani unaweza kuwa unapata sms za kawaida za mtu wako wa karibu.

Basi habari njema kwa watu wote waliokuwa wakitamani sana kuhusu kupata jibu la swali hilo.

TWENZETU!!!

1. Download app ya kuspy simu kwenye simu unayotaka kupata sms zake HAPA
2. Install application hiyo
3. Jisajili kwa kutumia email yako
4. Ingia WWW.SPY-PHONE-APP.COM kisha ingia kwa email na psword uliyojisajilia


Hatua namba 4 UNAPASWA KUITUMIA KWENYE COMPUTER AU SIMU YAKO BINAFSI.


ANGALIZO!!


HUDUMA HII NI YA BURE KWA MUDA TUU NA UTAPASWA KULIPIA BAADA YA MUDA FULANI




Jinsi Hackers Wanavyoweza Ku-Hack Instagram


Instagram ni mtando maarufu sana duniani, na kupitia Instagram watu wanaweza kuonesha picha za mambo balimbali kwa watu wengine.


Instagram kama ilvyo mitandao mingine ya kijamii ili uweze kuitumia ni lazima uwe umejiunga nautatakiwa kuingiza jina na neno lako la siri ilikuweza kuitumia.

Na kwasababu hiyo basi account yako ya Instagram inaweza kuhackiwa/kuibiwa endapo tu password yako itatambuliwa na mtu asiyehusika.Sasa leo nitawaleza ni jinsi gani hackers wanaweza kuhack account yako ya Instagram.

TWENZETU!!!

1.APPLICATION AND PLUGINS- Ni kweli kuna application na plugins zinazoweza kutumika kuhack account yako ya instagram na mtandao wowote ule unaoutumia, ili hacker aweze kutumia browser plugin inampasa kuishika simu yako na na kisha kuziisntal hizo plugins kwenye browser yako, na plugins hizo zitasave password na majina yako unayotumia kuingilia instagram na kisa zitatumwa kwa hacker bila wewe kutambua lolote.

2.KEYLOGGERS- Hii ni moja ya software kubwa sana ambayo inatumiwa sana na hawa wezi wa mitandaoni(hackers). Na hacker atapaswa pia kuiinstal hii keyloger kwenye kifaa chako either ni simu au computer, na inawezekana akainstall bila kuishika simu au computer yako kabisa. Na keylogger ni vigumu sana kuitambua kama ipo kwenye kifaa chako kwani huwa haionekani kabisana haileti ishara yoyote lakini inakuwa inafana kazi kila wakati unapoitumia computer au simu yako na kuchukua kila unachokiandika na kukituma kwa hacker muhusika.

3.HARDWARE- Pia hackers baadhi wanatumia kifaa maalumu cha kugundua password kwa kujaribu maneno ambayo yanawezekana kuwa ni password ndani ya muda mchache sana ni kama ndani ya dakika moja kifaa hicho kinakuwa kimekwisha itambua password yako. Vifaa vya namna hii kweli vipo lakini havipatikani kirahisi sana na pia vina vinauzwa ghali sana.

4.HOOKING BROWSER and PHISHING METHOD- Huu ni ujanja mbao unawagharimu watumiaji wengi wa mitandao hiyo kama Instgram, kwa njia hii Hacker anaweza akafanya ukapata ujumbe wa ghafla ukiwa mtandaoni baada tu ya kutembelea tovuti fulani na huo ujumbe unaweza ukakutaka uingize jina na password yako ya instagram ujumbe unaweza kuwa "INSTAGRAM YAKO IMEPITWA NA WAKATI LOG IN ILI KUIDOWNLOAD MPYA", sasa baada ya kulog in tu hacker anapata jina pamoja password yako papo hapo napia kuna njia nyingi ambazo unaweza ukaibiwa account yako kwasababu tu ya uzembe na tamaa zako z mtandaoni, unaweza ukaambiwa ingiza jina na password yako ili upate followers zaidi ya 5000.

Lakini njia hii ya kutengeneza hizo jumbe inawezekana kwenye operating system ya KALI lINUX TUU 




Thursday, June 1, 2017

Ifahamu App ya kwanza inayoonesha mambo yanayovuma Tanzania


App hii inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii:
Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play




App hii ina uwezo wa kugundua ni jambo gani au mtu gani maarufu anavuma Tanzania katika siku. Hili linawezekana kwani app hii ina intelligence au uwezo wa kukusanya habari kutoka kwenye blogs na news sites maarufu Tanzania zaidi ya 35. Inazichambua habari hizi na kugundua jambo gani au mtu gani antrend Tanzania.




Pia app hii inapangilia habari katika topic au mada mbalimbali kama siasa, michezo, burudani, uchumi n.k ili kumrahisishia msomaji. Pia inampa mtumiaji uwezo wa kuchagua topic au mada za habari ambazo anataka app hii iwe inamletea na zipi isimletee. Hii inasaidia mtumiaji kusoma habari ambazo anapenda kuzisoma.


Malengo ya App hii
1. Kumrahisishia mtanzania kupata habari

2. Kuwaongezea waandishi wa habari idadi ya wasomaji

Thursday, May 11, 2017

Pakua Windows 10 All in One x64 ISO May 2017


Orodha ya matoleo

  • Windows 10 Cloud (64-bit) – English
  • Windows 10 Home Single Language (64-bit) – English
  • Windows 10 Home (64-bit) – English
  • Windows 10 Pro (64-bit) – English
  • Windows 10 Education (64 bit-) – English
  • Windows 10 Enterprise (64 bit-) – English
  • Windows 10 Cloud (64 bit-) – Russian
  • Windows 10 Home Single Language (64 bit-) – Russian
  • Windows 10 Home (64- bit) – Russian
  • Windows 10 Pro (64-bit) – Russian
  • Windows 10 Education (64-bit) – Russian
  • Windows 10 Enterprise (64-bit) – Russian
Taarifa

  • Jina: Windows 10 All in One x64 ISO With May 2017 Updates
  • Setup File Name: en-ru_windows_10_rs2_15063.250_with_update_12in1_x64.iso
  • Full Setup Size: 3.3 GB
  • Setup Type: Offline Installer / Full Standalone Setup
  • Compatibility Architecture: 64 Bit (x64)
  • Latest Version Release Added On: 10th May 2017
  • Developers: Windows 10

Njia za Uhakika za Kujiingizia Kipato Kupitia Internet


Kujiingizia kipato/fedha kupitia Internet ni jambo lililoenea Duniani kote. Na hii imedhihirisha Mapinduzi makubwa ya maendeleo ya Sayansi na teknolojia. Vijana,Watu wazima,Wenye ajira na Wasio na ajira Wanafanya kazi Mtandaoni kwa ajili ya kujipatia kipato cha ziada kitakachoweza kukidhi baadhi ya Matumizi yao. Lakini hali hii inaonekana tu katika Nchi zilizoendelea wakati katika nchi Zinazoendelea bado inaonekana watu wamelala. Hata hivyo kwa sasa nchi nyingi Zimeanza kuamka Na Kulipa nguvu jambo hili.
Wengi wanapotajiwa swala la kujiingizia fedha kupitia Internet huona kama ni masihara,na wengine Wakibeza na Kuwakatisha tamaa wale walio tayari kutaka kuthubutu. Niwatoe wasiwasi kwa wale wanaotaka kuingia katika uwanja huu wa kujiingizia fedha kuptia internet. Internet ni sehemu pekee itakayokuwezesha kujiingizia kipato kwa kufanya kazi ukiwa Nyumbani,wakati unaendelea na shughuli zako njingizne.
Unaweza kufanya kazi zaidi ya 100 Mtandaoni na Ukajiingizia kipato Cha nguvu. Kiasi gani unaweza kujiingizia kupitia Internet hutegemea sababu mbalimbali kama vile
1.Aina ya kazi unayofanya.
2.Ubunifu na juhudi katika kazi Unayofanya.
3.Muda,Ni muda kiasi gani unautumia kufanya kazi katika internet.
4.Uimara na iUstadi katika kazi.

5.Elimu juu ya kazi unayoifanya.

Unaweza kujiingizia 100,000/= hadi 5,000,000/= Kwa mwezi,hutegemea na sababu mbalimbali kama zilivyoorodheshwa hapo juu.
Watu Wengi wamekuwa wakifeli Kujiingizia fedha kupitia Internet kutokana na sababu mbalimbali. Zifuatazo ni miongoni mwa sababu zinazowafanya Watu washindwe kujiingizia Fedha kupitia internet.
1.Kukosa elimu sahihi juu ya kujiingizia fedha kupitia Internet.Mengi yanasemwa juu ya kujiingizia kipato/fedha kupitia internet Lakini watu bado wanakosa elimu sahihi ya Kujiingizia fedha kupitia internet.
2.Kukosa Uvumilivu,Kujiingizia kipato cha maana kupitia Inernet ni jambo linalochukua muda.wengi wanashindwa kutokana na kukosa Uvumilivu katika kazi hizi. Inaweza Kuchukua miezi kadhaa na hata mwaka/miaka kabla haujaanza kujiingizia kipato cha maana hii hutegemeana na kazi husika mtu anayoifanya.
NJIA UNAZOWEZA KUTUMIA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA INTERNET
Zifuatazo ni njia unazoweza kutumia kujiingizia kipato/fedha kupitia Internet. Kama nilivyotangulia kusema hapo awali kwamba kuna njia/kazi zaidi ya mia moja (100) unazoweza kutumia kujiingizia kipato kupitia Internet, Lakini makla hii itaelezea njia 10 tu za uhakika ambazo unaweza ukazifanya wewe Mtanzania/Mkenya na Ukajiingizia kipato [pasipo tatizo lolote.
ANGALIZO:Hapa hatuelezei njia zitakazokufanya wewe utajirike kupitia internet, bali ni Njia ambazo zitakazokuingizia kipato kinachoweza kukuinua kimaisha. Kutajirika kupitia Internet kunahitaji elimu zaidi.
1.BLOG
Blog ikiwa ni mtandao unaomwezesha mtu kuweka matukio,taarifa na makala mbalimbali ambazo husomwa na watu wengine, inaweza ikatumika kama chnzo cha mapato. Blog ni njia rahisi zaidi ya kujiingizia fedha kupitia Internet. Kwani haiitaji ujuzi mkubwa wa mtandao,Unachotakiwa kufanya ni Kutengeneza blog/kutengenezewa na kisha Kuchagua njia utakayoitumia kujiingizia fedha kupitia blog yako.
HATA HIVYO:Ninaposema blog ni njia rahisi kujiingizia kipato kupitia blog isifikiriwe kuwa ni rahisi kama Kunywa maji bado inahitaji Muda,kujituma na Ubunifu ili kufanikisha hilo.
2.Kuwa mwandishi wa Vitabu Mtandaoni.
Miongoni mwa vikwazo vinavyowazuia Waandishi wengi kutimiza ndoto zao ni UCHAPISHAJI WA VITABU.Kutokana na Ukosefu wa gharama za Uchapishaji wa vitabu,Watu wenye fani hii ya uandishi wamekuwa wakiishia njiani. Internet imefungua Milango wazi kwa Waandishi,Unaweza kuandika Vitabu na Ukaviuza mtandaoni kwa na kujiingizia kipato. Haijalishi ni aina gani ya vitabu unaandika iwe Vya hadithi,simulizi mabalimbali, Masomo au Mafunzo bado utapata Wasomaji Wako mtandaoni na utajiingizia kipato kupitia kazi hiyo hapahapa Tanzania,Kenya au Nchi nyingine kama Utaandika kwa lugha ya kiingereza. Unaweza kuandika Vitabu na ukavitangaza katika Mitandao mbalimbali itakayokusaidia kupata wateja kama Vile Bookstz,Jamiiforums,OLX,Kupatana.com na mingine mingi.
3.Fundisha Mtandaoni.
Kama una maarifa yoyote na unataka kuyafikisha kwa Watu kwa na huku wakikulipa gharama kidogo,basi internet inakuwezesha kutimiza lengo hilo.Unaweza ukapangilia Maarifa yako katika mfumo mzuri na unaoeleweka na kuanza kutoa mafunzo hayo.Tafuta njia ya kufikisha mafunzo hayo kwa wahusika.
Unaweza kutumia Blog ukaweka Mafunzo yako na Ukaifanya Blog yako kuwa ya kulipia,Yaani mtu hawezi kusoma yaliyomo hadi alipie ada ya mafunzo husika.hii ni njia nzuri kama utakuwa na maarifa ya maana ambayo utawashawishi watu Wajiunge na mafunzo hayo.
4.Anzisha Magazeti ya Mtandaoni(Online Magazine)
Kama Ungependa kufikisha Taarifa kwa watu kupitia magazeti,Tumia njia hii ya Mtandaoni Unayoweza kufikisha taarifa kwa haraka.Utaweka Ulinzi na hivyo ili mtu aweze kusoma Magazeti yako atatakiwa alipie ndipo aunganishwe na huduma hiyo.Ukiwa Mbunifu katika hilo unaweza kujiingizia kipato cha Nguvu kupitia blog.
Njia zote zilizoelezewa katika makala hii ni za uhakika na zinazoweza kukuingizia kipato kupitia internet.
MAKALA HII ITAKUWA IKIONGEZWA VITU VIPYA MARA KWA MARA HIVYO UNASHAURIWA KUIPITIA KILA BAADA YA SIKU KADHAA.
Kwa msaada wowote usisite kuuliza kupitia comment hapo chini…..

Maana na Orodha ya Post-code (zip-code) Tanzania


Post code au(Zip code) ni namba za utambulisho wa eneo husika.Huanzia ngazi ya mkoa hadi kata (ward). Kila kata,wilaya,na hata mkoa una Zip code husika.

Angalizo:Zip code ni tofauti na Post Adress(Sanduku la posta). Post code pia ufahamika kama Zip code htumika sana katika kufanya Manunuzi ya mtandaoni,au kujisajili katika huduma fulani za kimtandaoni.


POST CODE ZA KILA MKOA ZIMEORODHESHWA HAPO CHINI SASA UNAWEZA KUTUMIA POST CODE YA MKOA WAKO KUFANYIA HUDUMA ZA KIMTANDAO.

Postcode Tanzania

KANDA YA KASKAZINI

TANGA=21000
ARUSHA=23000
KILIMANJARO=25 000
MANYARA=27000

KANDA YA ZIWA

GEITA=30000
MARA=31000
MWANZA=33000
KAGERA305 00
SHINYANGA=37000
SIMIYU=39000

KANDA YA KATI

DODOMA=41000
SINGIDA=43000
TABORA=45 000
KIGOMA=47000

KANDA YA JUU KUSINI

KATAVI=5 0000

IRINGA=5 1000

MBEYA=5 3000RUKWA=55 000

RUVUMA=57000NJOMBE=5 9000


KANDA YA MWAMBAO(PWANI)

PWANI=61000

LINDI=65 000

MTWARA=63000

MOROGORO=67000

ZANZIBAR

MJINI MAGHARIBI=71000
KUSINI UNGUJA=72000
KASKAZINI UNGUJA=73000
KUSINI PEMBA=74000
KASKAZINI PEMBA=75 000

Tatizo la screen za smartphone na jinsi ya kuliondoa


Leo nikushirikishe juu ya Kutatua tatizo kama kioo cha simu yako ya Kupangusa (Screen touch) hakifanyi kazi. Wakati mwingine hutokea kuwa Kioo cha simu yako hakitoi matokeo pale unapogusa ili kufanya muamala fulani, kama vile Unapogusa ili ufungue mafaili au chochote huwa imeganda tu, au ina mwitikio mdogo isivyo kawaida. Kama haloi hiyo itatokea unashauriwa kufanya Yafuatayo.
1,Safisha kioo cha simu.
Mara nyingi tukiwa katika hali mbalimbali tumekuwa tukitumia simu zetu hali ya kuwa mikono ni michafu na yenye mavumbi. Kioo cha simu kinadaka takataka hizo n kutengeneza layer(tabaka jembamba) ambalo si rahisi kuligundua kwa hali ya kawaida. Hivyo unashauriwa kama unaona kioo cha simu yako kina tatizo kama nililoeleza hapo juu unatakiwa  Kutumia kitambaa laini na kilichosafi kusafisha kioo cha simu yako. Jaribu kukandamiza kitambaa kidogo ili kama kuna uchafu uweze kuondolewa. 
2.Restart simu yako au zima kisha uiwashe tena kama bado tatizo linaendelea.
Wakati mwingine hutokea kua si kioo (screen) nbali tatizo hutokea katika mfumo wa simu na kuleta matokeo kama hayo, hivyo unashauriwa Urestart(Anzatena kuwasha)n au zima kabisa kisha Uiwashe.

3. Ondoa kikinga kioo (screen cover/screen case)
Kutokana na usalama wakati mwingine mtu huweka kitbaka cha screen ili kuzuia mikwaruzo katika kioo halisi cha simu. Tatizo hutokea pale kikingakioo kinposhindwa kufanya kazi kwa sababu mbalimbali, Hivyo unashauriwa Kutoa kikinga kioo.
ANGALIZO:Ukishatoa hauwezi kukirudishia tena hadi ukaweke kingine.

Payoneer, Suluhisho la malipo ya Mtandaoni


Bila shaka kikwazo kikubwa kinachowakabili wafanyabiashara wa Mtandaoni ni njia ya Malipo.
Kukiwa na maelfu ya fursa za kimtandao bado nyingi zinashindwa kufikiwa kwa kikwazo cha njia ya Malipo.


Makampuni mengi Duniani yanatumia Paypal kama njia ya malipo, Lakini kwa bahati mbaya kuna nchi nyingi haziruhusu huduma hii Tanzania ikiwemo.

Hivyo basi Payoneer ni suluhisho kwa wafanyabiashara za mtandaoni ambao wanategemea kupokea malipo kutoka nje(abroad).
KWANINI UTUMIE PAYONEER
  • Usajili ni bure na ni rahisi, Kwa wale wasiokuwa na Vitambulisho vya kupigia kura wanaweza kutumia hata Cheti cha kuzaliwa kama kitambulisho.
  • Utatumiwa Kadi yako ya Payoneer MasterCard kutoka Aurora-Marekani hadi hapo ulipo Bure kabisa.
  • Kadi hii itakuwezesha kutoa pesa hata katika mabenki yetu ya hapa Tanzania kwa Shilingi za Kitanzania,
  • Utapata US Dollar 25 kama zawadi ya kujiunga, ambayo ni sawa na TZS 50,000+ za hapa Tanzania. Zawadi hii utapatiwa mara tu baada ya kufikisha Dollar 100 ulizolipwa katika account yako ya payoneer
  • Pia kuna zawadi ya dollar 25 iwapo utamtaarifu rafiki yako naye akajiunga, atakapofikisha Dollar 100 katika Account yake ya Payoneer nawe utapewa zawadi ya Dollar 25.
  • Kama bado haujajiunga na Payoneer BONYEZA HAPA KUJIUNGA Au nakili http://www.payoneer.com katika kivinjari chako

    Miongoni mwa makampuni ambayo unaweza kufanya kazi na ukalipwa kupitia Akaunti yako ya Payoneer ni

    1. Fiverr
    2. Amazon
    3. Rakuten.com
    4. UpWork
    5. Wish
    6. Tradedoubler
    7. LAZADA
    8. HomeAway
    9. gettyimages
    10. Cdiscount
    11. airbnb

Wednesday, May 10, 2017

Dream League Soccer 2017 APK


Dream League Soccer 2017 Ni game la android kwaajili ya wote wapenda mpira wa miguu, 





Tuesday, May 9, 2017

Fungua Akaunti Ya Apple ID Bila Taarifa Za Benki!


Apple ID (ile barua pepe inayokufanya uweze kushusha vitu sokoni) imekua gumzo kwa baadhi ya watumiaji wa bidhaa za Apple Inc. Utakuta mtu ana iPhone sema kufungua account ya Apple ni shida kwa sababu inakua inataka taarifa za benki za mtumiaji. Kuna wengine hilo hawaliafiki kwa sababu hawana mpango wa kushusha App ambazo zinauzwa Appstore, Labda wanataka zile za bure tuu. Hata mimi katika iPhone yangu ya kwanza iliniladhimu niwe natumia Apple ID ya mtu mwingine ambae nlikua nimeelewana nae kuhusiana na hilo. Lakini kumbuka ku ‘Share’ vitu kama hivi sio dili, lolote linaweza tokea huwezi jua. Tatizo lingine linakuja pale unapo ‘share’ akaunti ya mtu ambae kaweka taarifa zake za benki, ukiona App nzuri inayouzwa utaishusha? (usinijibu). Kama unataka fungua Akaunti katika vifaa vya Apple bila kuweka taarifa zako za benki fuata maujanja haya

Kwanza kabisa  njia rahisi,  kabla ya kufungua Apple ID inabidi ufungue parua pepe ya iCloud. iCloud itakua kama ndio njia yako ya kuhifadhi data zako (memory) kama number za simu, taarifa za kalenda, notisi ulizoandika, vimemo na mambo mengine kibao. Uzuri wa iCloud ni kwamba hata pale unapobadilisha simu mfano kutoka kwenye iPhone 4s kwenda kwenye iPhone 5 hauhitaji kuanza kuanza upya kwenye number zako za simu hapa cha kufanya ni kuingiza akaunti ya iCloud uliokua unaitumia katika 4s kweye iPhone 5 na kisha ‘restore’ data zako


Jinsi Ya Kufungua Akaunti Hiyo
  • Nenda katika Settings za iPhone Yako
  • Tafuta iCloud
  • Fungua na bonyeza ‘Get a free Apple ID’
Hapo sasa jaza hiyo fomu vizuri kabisa. kwa kuwa unajiaandikisha kwa mara ya kwanza kabisa ni vyema ukaweka pale mwisho @icloud.com (romanustechnology@icloud.com) usitumie romanustechnology@gmail.com au mengine

Ukishamaliza kujaza fomu hiyo utakua umetengeneza akaunti ya iCloud. Pia unaweza kutuma na kupokea E-mail katika akaunti hiyo hapo hapo kwenye simu yako. 
Baada ya kuwa tayari na akaunti ya Icloud, ingia App store kisha fanya kama unadownload app yoyote. ukibofya download tuu kitakuja kiboksi kikidai email na neno siri. hapo jaza ile email ya icloud (romanustechnology@icloud.com) uliofungua juu pamoja na neno siri lake. kitatokea kiboksi tena  kikisema  ‘This Apple ID has not yet been used with the itunes store please review your account information’ kisha bonyeza review. Itakupeleka katika ukurasa mwingine ambapo utaenda kukubali vigezo na masharti na kujaza taarifa zako za kibenki utakuta machaguo haya Visa, MasterCard, Amex, Discover na None. Hapo chagua ‘None’ kisha utaendelea jaza taarifa muhimu kama jina kamili, umri na jinsia na vinginevyo.

Baada ya kumaliza kujaza fomu hiyo, utakua umefungua akaunti ya iCloud na ya Apple (Apple ID)  bila kuweka taarifa zako za kibenki. Anza kutuma na kupokea meseji kutumia iCloud na shusha App uzipendazo za bure katika App Store
Ni muhimu kila mtumiaji wa vifaa vya Apple Inc akawa na Apple ID yake, kwa sababu itamsaidia kutunza hata data zake za muhimu kama number za simu. Haya sasa Romanus Technology imekupa mbinu hii, Tuambie umeipokeaje sehemu ya comment hapo chini pia usisahau kusambaza hii ili kila mtu ajanjaruke.
Page 1 of 6123456>Last

Usipitwe Na Hii

Jinsi Ya Kupata "Likes" Nyingi Facebook

Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES   nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa...

Back to Top
Loading...